Mhozo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oenanthe)
Mhozo | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 3: |
Mihozo ni ndege wa jenasi Oenanthe, Saxicola na Campicoloides. Zamani wataalamu waliwaweka katika familia ya mikesha (Turdidae), lakini siku hizi mihozo huainiwa baina ya shore (Muscicapidae). Mihozo wana mabaka maalum meusi na meupe au mekundu na meupe kwa kiuno na mkia wao mrefu. Ndume ni maridadi kuliko jike. Hukaa chini na hula wadudu. Wanatokea nyanda kavu katika Afrika, Ulaya na Asia. Spishi zinazozaa katika nchi za kaskazini huhamia Afrika wakati wa baridi. Hujenga matago yao ndani ya mianya ya miamba au vishimo visivyotumika.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Campicoloides bifasciatus, Mhozo Nyusi-nyeupe (Buff-streaked Chat)
- Oenanthe albifrons, Mhozo Paji-jeupe (White-fronted Black Chat)
- Oenanthe bottae, Mhozo Tumbo-jekundu (Red-breasted Wheatear)
- Oenanthe cypriaca, Mhozo wa Kupro (Cyprus Wheatear)
- Oenanthe deserti, Mhozo-jangwa (Desert Wheatear)
- Oenanthe dubia, Mhozo Kahawia (Sombre Rock Chat)
- Oenanthe familiaris, Mhozo Mkia-mwekundu (Familiar Chat)
- Oenanthe finschii, Mhozo wa Finsch (Finsch's Wheatear)
- Oenanthe heuglini, Mhozo wa Heuglin (Heuglin's Wheatear)
- Oenanthe hispanica, Mhozo Masikio-meusi (Black-eared Wheatear)
- Oenanthe isabellina, Mhozo Kidari-pinki (Isabelline Wheatear)
- Oenanthe leucopyga, Mhozo Utosi-mweupe (White-crowned Wheatear)
- Oenanthe leucura, Mhozo Mweusi (Black Wheatear)
- Oenanthe lugens, Mhozo-msiba (Mourning Wheatear)
- Oenanthe lugubris, Mhozo Habeshi (Abyssinian Wheatear)
- Oenanthe melanura, Mhozo Mkia-mweusi (Blackstart)
- Oenanthe moesta, Mhozo Kiuno-chekundu (Red-rumped Wheatear)
- Oenanthe monacha, Mhozo Rangi-mbili (Hooded Wheatear)
- Oenanthe monticola, Mhozo-milima (Mountain Wheatear)
- Oenanthe oenanthe, Mhozo Kaskazi (Northern Wheatear)
- Oenanthe phillipsi, Mhozo Somali (Somali Wheatear)
- Oenanthe pileata, Mhozo Utosi-mweusi (Capped Wheatear)
- Oenanthe pleschanka, Mhozo Mgongo-kijivu (Pied Wheatear)
- Oenanthe schalowi, Mhozo wa Schalow (Schalow's Wheatear)
- Oenanthe scotocerca, Mhozo Mkia-kahawia (Brown-tailed Rock Chat)
- Oenanthe xanthoprymna, Mhozo wa Kurdistani (Kurdish Wheatear)
- Saxicola dacotiae, Mhozo wa Kanaria (Fuerteventura au Canary Islands Stonechat)
- Saxicola rubetra, Mhozo Mchirizi-mweupe (Whinchat)
- Saxicola rubicola (zamani S. torquata rubicola), Mhozo wa Ulaya (European Stonechat)
- Saxicola sibilla, Mhozo wa Madagaska (Madagascar Stonechat)
- Saxicola tectes, Mhozo wa Reunion (Réunion Stonechat)
- Saxicola torquatus, Mhozo Kidari-chekundu (African Stonechat)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Oenanthe albonigra (Hume's Wheatear)
- Oenanthe chrysopygia (Red-tailed Wheatear)
- Oenanthe fusca (Brown Rock Chat)
- Oenanthe lugentoides (Arabian Wheatear)
- Oenanthe picata (Variable Wheatear)
- Saxicola caprata (Pied Bush Chat)
- Saxicola ferreus (Grey Bush Chat)
- Saxicola gutturalis (White-bellied au Timor Bush Chat)
- Saxicola insignis (Hodgson's au White-throated Bush Chat)
- Saxicola jerdoni (Jerdon's Bush Chat)
- Saxicola leucurus (White-tailed Stonechat)
- Saxicola macrorhynchus (Stoliczka's au White-browed Bush Chat)
- Saxicola maurus (zamani S. torquatus maurus) (Siberian au Asian Stonechat)
- Saxicola rubicola (zamani S. torquata rubicola) (European Stonechat)
- Saxicola r. hibernans (Atlantic Stonechat)
- Saxicola stejnegeri (Stejneger's Stonechat)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mhozo nyusi-nyeupe
-
Mhozo tumbo-jekundu
-
Mhozo wa Kupro
-
Mhozo-jangwa
-
Mhozo mkia-mwekundu
-
Mhozo wa Finsch
-
Mhozo masikio-meusi
-
Mhozo kidari-pinki
-
Mhozo utosi-mweupe
-
Mhozo mweusi
-
Mhozo-msiba
-
Mhozo Habeshi
-
Mhozo mkia-mweusi
-
Mhozo kiuno-chekundu
-
Mhozo rangi-mbili
-
Mhozo-milima
-
Mhozo kaskazi
-
Mhozo utosi-mweusi
-
Mhozo mgongo-kijivu
-
Mhozo wa Schalow
-
Mhozo wa Kanaria
-
Mhozo mchirizi-mweupe
-
Mhozo wa Ulaya
-
Mhozo wa Madagaska
-
Mhozo wa Reunion
-
Mhozo kidari-chekundu
-
Pied bushchat
-
Grey bushchat
-
Stoliczka's bushchat
-
Siberian stonechat
-
European stonechat