Naomi Ng'ang'a

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naomi Wambui Ng'ang'a (mara nyingine hufaamika kwa jina la Neomi Ng'ang'a; amezaliwa tarehe 5 Oktoba 1987) ni mwigizaji, mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio kutoka nchini Kenya.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alikulia Huruma Nairobi.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kuonekana kwenye tasnia ya burudani katika filamu ya Tahidi High. Uhusika wake katika filamu hii ndio uliompa umaarufu. Mwaka 2011, alikua mmojawapo wa wahusika wakuu katika maonyesho ya televisheni ya, Demigods.[1] Mwaka 2013, alikua mmoja kati ya wahusika wanne kwenye soap opera, Sumu la penzi.[2] Alishiriki pamoja na Serah Ndanu, Avril Mwangi na Joyce Maina. Mwaka 2014 alikua mhusika katika filamu ya Fundi-Mentals.[3] kutoka mwezi wa saba 2015, ni muandaaji wa StarTimes Swahili talk show, Sema Nami.[4] tofauti na kuwa msanifu wa televisheni , pia ni mtangazaji wa redio One FM.[5][6]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Filamu na Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Kazi Uhusika Maelezo Chanzo
???? Tahidi High Mhusika wa kawaida
2008  – 11 Wash and Set Mhusika mkuu
2010  – 11 Noose of Gold Madeline Mhusika mkuu
2011 Demigods Mhusika mkuu [1]
Shattered 65-year-old woman Filamu
2011-2014 Lies that Bind Mama Sweetie Mhusika wa kawaida [7]
2013–present Sumu la penzi Ama Mhusika mkuu [8]
2014 Fundi-Mentals Mhusika mkuu [9]
2014 Risper Mrs. Tembo Maonyesho ya mtandaoni
2015–mpaka sasa Sema Nami Pekeyake Mtayarishaji [10]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Demigods. Iliwekwa mnamo October 10, 2015.
  2. Unmasking Sumu la Penzi's femmes fatales. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  3. Check out photos from the Fundi-mentals movie premier in Nairobi. Kiss FM (February 18, 2015). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-06-19. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  4. Curvaceous One FM presenter lands TV talk show. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-05-29. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  5. Sexy Sumu La Penzi actress lands a job at One FM. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-05. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  6. Neomi Ng'ang'a is new face of Wambui Mukenyi. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-04-28. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  7. Lies that Bind Naomi Ng'ang'a. Iliwekwa mnamo November 26, 2015.
  8. Sumu La Penzi. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-12-22. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
  9. Elly Gitau. Glamour sex comedy film Fundi-mentals premieres. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.[dead link]
  10. Tonny Ndung'u. Sema nami. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-06. Iliwekwa mnamo October 30, 2015.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naomi Ng'ang'a kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.