Sumu la penzi
Mandhari
Sumu la penzi | |
---|---|
Aina | Tamthilia |
Imetungwa na | Mwende Ngao |
Wabunifu wakuu | Dorothy Ghettuba |
Jina la kufungulia kipindi | "Sumu la Penzi" |
Nchi inayotoka | Kenya |
Lugha | Kiswahili |
Ina misimu | 4 |
Ina sehemu | Nairobi |
Utayarishaji | |
Watayarishaji wakuu |
Carol Odongo |
Sehemu | Nairobi |
Muda | makisio ni dk. 22 |
Urushaji wa matangazo | |
Kituo | Africa Magic Swahili |
Viungo vya nje |
Sumu la penzi ni tamthilia ya Kiswahili kutoka nchini Kenya.
Imetayarishwa na kampuni Spielswork Media na msimamizi mkuu ni Dorothy Ghettuba, ikiwashirikishwa waigizaji wafuatao: Serah Ndanu, Naomi Ng'ang'a, Avril Nyambura na Joyce Maina.
Wahusika
[hariri | hariri chanzo]- Serah Ndanu[1] - Mariam
- Naomi Ng'ang'a - Ama
- Avril Nyambura - Eva
- Joyce Maina[2] - Tindi[3]
- Davidson Ngibuini[4] - Tash
- Pieter Desloovere - Hans
- Peter Kawa - Oscar
- Norbert Ouma - Solomon
- Peterson Gathambo - Martin
- Bilal Ndegwa - Mr Rent
- Sherylene Mungai - Debrah
- Lucy Waigera - Olive
- Nina Adegala - Cynthia
- Antony Makau - Mwanabiashara Mwenza[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Serah Ndanu flexes her muscles". africamagic.dstv.com. Africa Magic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-06. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Sue Watiri. "Sumu la Penzi's Tindi has got it". ghafla.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-03. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Interview Sumu la penzi's Tindi". africamagic.dstv.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-13. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Meet heart throb tash played by DNG". africamagic.dstv.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-13. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Faced by Antony Makau". faces.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-05. Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)