Nanyala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nanyala ni kata ya Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe, Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,914 [1] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53315.

Karibu na Nanyala visukuku vimegunduliwa katika matabaka ya miamba ya jiwe mchanga. Wataalamu Wamarekani walitambua visukuku vya aina ya ndezi yenye umri wa miaka milioni 24.95 aliyepewa jina la "Kahawamys Mbeyaensis"[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Mbozi DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-13.
  2. Kahawamys Mbeyaensis (N. Gen., N. Sp.) (Rodentia: Thryonomyoidea) from the late oligocene Rukwa Rift Basin, Tanzania; Nancy J. Stevens,Patricia A. Holroyd, Eric M. Roberts, Patrick M. O’Connor, and Michael D. Gottfried, katika Journal of Vertebrate Paleontology 29(2):631–634, June 2009
Kata za Wilaya ya Mbozi - Mkoa wa Songwe - Tanzania

Bara | Halungu | Hasamba | Hasanga | Hezya | Ichenjezya | Idiwili | Igamba | Ihanda | Ilolo | Ipunga | Isandula | Isansa | Itaka | Itumpi | Iyula | Kilimampimbi | Magamba | Mlangali | Mlowo | Msia | Myovizi | Nambinzo | Nanyala | Nyimbili | Ruanda | Shiwinga | Vwawa | Wasa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanyala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno