Nambinzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Nambinzo
Nchi Tanzania
Mkoa Mkoa wa Songwe
Wilaya Mbozi
Idadi ya wakazi
 - 25,951

Nambinzo ni jina la kata ya Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 25,951 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53314.

Eneo la Nambinzo lina wakazi wanao jishughulisha na kilimo pamoja na ufagaji (small peasants) na msingi Mkuu wao ni kwa ajili ya chakula na sio biashara Zao pekee la kahawa ndilo zao la biashara kama ilivyo wilaya take na kata zingine.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mbozi - Mkoa wa Songwe - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bara | Halungu | Igamba | Ihanda | Ipunga | Isandula | Isansa | Itaka | Iyula | Mlangali | Mlowo | Msia | Myovizi | Nambinzo | Nanyala | Nyimbili | Ruanda | Vwawa


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nambinzo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.