Nada Topčagić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Nada Topčagić
Picha ya Nada Topčagić

Nada Topčagić; amezaliwa Modriča, Yugoslavia, 3 Julai 1953) ni mwimbaji toka Bosnia na Herzegovina.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kazi yake ilianza mwaka 1975, kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, "Na Drini ćuprija" (Daraja juu ya “Drina”), uliyoandikwa na Obren Pjevović. Alikuwa maarufu sana kipindi cha miaka ya 1980 ingawa bado anasikika mpaka leo. Mwezi mmoja baada ya kuanguka kwa Vukovar kwenye vita vya uhuru vya Kroatia, kwenye majira ya baridi ya 1991-92, yeye, Era Ojdanić na Mira Kosovka waliimba katika tamasha kwa ajili ya wanajeshi wa Kiserbia kwenye mji uliotekwa.[1][2].[3] Kulingana na yeye, alilazimishwa na kikosi cha jeshi kuimba katika tamasha. Mwaka 2021, mchezaji wakiswedishi Zlatan Ibrahimović alitumia kipande cha wimbo wake "Jutro je" (Ni Asubuhi) katika Tamasha la Muziki la Sanremo. Kipande cha muziki baadae kilipata umaarufu mkubwa.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Topčagić alitoka Bosnia na Herzegovina na kwenda Belgrade muda fulani kabla ya kutoa wimbo wake wa kwanza (1975). Nada anaishi na kufanya kazi. Ameolewa na Zlatko Đorđević, pamoja naye ana mtoto wa kiume, Miroslav (alizaliwa 1984).[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-27. Iliwekwa mnamo 2021-03-31.
  2. Catherine Baker (1 July 2010). Sounds of the Borderland: Popular Music, War and Nationalism in Croatia since 1991. Ashgate Publishing, Ltd., 187–. ISBN 978-1-4094-9403-4. 
  3. "Srpska estrada bojkotuje koncert Tereze Kesovije". 
  4. Nada Topčagić: Jedva čekam unuče (sr) (3 July 2011). Jalada kutoka ya awali juu ya 2 December 2013. Iliwekwa mnamo 23 January 2020.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nada Topčagić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.