Mwandiko
Mandhari
Mwandiko ni maandishi ya mtu aliyoyafanya kwa kutumia mkono wake.
Kwa kuwa kila mmoja ana namna yake ya pekee ya kuandika, unatumika kutambua kama maandishi ya yake kweli[1], kuanzia sahihi.
Hata watoto pacha wanaochanga urithi uleule wa kibiolojia wanatofautiana katika mwandiko[2].
Ndiyo sababu wapo wanaoona uwezekano wa kutambua tabia au hali yake katika mwandiko wake, hasa akiandika bila kujali upendezwe kwa uzuri.
Uharibikaji wa namna ya kuandika ni pia dalili ya kuzeeka na kuugua maradhi fulanifulani[3] .
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Huber, Roy A.; Headrick, A.M. (Aprili 1999), Handwriting Identification: Facts and Fundamentals, New York: CRC Press, uk. 84, ISBN 978-0-8493-1285-4, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-28, iliwekwa mnamo 2015-12-27
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tomasz Dziedzic, Ewa Fabianska, and Zuzanna Toeplitz (2007). Handwriting of Monozygotic and Dizygotic Twins. Problems of Forensic Sciences.
- ↑ Gargot, Thomas; Asselborn, Thibault; Pellerin, Hugues; Zammouri, Ingrid; Anzalone, Salvatore M.; Casteran, Laurence; Johal, Wafa; Dillenbourg, Pierre; Cohen, David; Jolly, Caroline (2020-09-11). "Acquisition of handwriting in children with and without dysgraphia: A computational approach". PLOS ONE. 15 (9): –0237575. Bibcode:2020PLoSO..1537575G. doi:10.1371/journal.pone.0237575. ISSN 1932-6203. PMC 7485885. PMID 32915793.