Mtoje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtoje
(Rubus pinnatus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Jenasi: Rubus
L.
Spishi: R. pinnatus
Willd.

Mtoje (Rubus pinnatus) ni mmea mtambaa wa familia Rosaceae wenye miiba. Una maua meupe. Matunda yake ni meusi yakiwa yameiva na huitwa matoje; hulika.

Spishi jamaa, Rubus apetalus na R. rigidus, huitwa utonge.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtoje kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.