Nenda kwa yaliyomo

Mto Ntotoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ntotoro unapatikana katika wilaya ya Bundibugyo, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]