Nenda kwa yaliyomo

Mto Nabilatuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Nabilatuk unapatikana katika wilaya ya Nakapiripirit, kaskazini mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]