Nenda kwa yaliyomo

Mto Katonga (Kamwenge)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Katonga (Kamwenge) unapatikana katika wilaya ya Kamwenge, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika Ziwa Dweru, mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]