Mto Atari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Atari (pia: Atar) unapatikana nchini Uganda kati ya mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Mashariki.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]