Nenda kwa yaliyomo

Mto Ajobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Ajobi unapatikana katika wilaya ya Pader, kaskazini mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]