Moussa Sissoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mousa Sissoko.

Moussa Sissoko (alizaliwa 16 Agosti 1989) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anachezea klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Ufaransa.

Yeye anacheza kama kiungo, pia anaweza kucheza katika jukumu lolote la katikati, au hata kama kiungo mshambuliaji na winga wa kulia, kutokana na kasi yake na uwezo wake mkubwa.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Sissoko alianza kazi yake ya mpira wa miguu katika klabu za vijana za mitaa katika mkoa wa Île-de-France huko Ufaransa.

Newcastle FC[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 21 Januari 2013, Sissoko alihamia Newcastle United kwa ada ya uhamisho inayoaminika kuwa £ milioni 2.5.

Tottenham Hotspurs[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 31 Agosti 2016, Sissoko alijiunga na Tottenham Hotspur kwa mpango wa miaka mitano, kwa £ milioni 3.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moussa Sissoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.