Mohamed Mwikongi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mohamed Said Mwikongi (amezaliwa tar. 18 Aprili 1979) ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, mwongozaji na mtayarishaji kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la "Frank" aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Tufani na baadhi ya filamu alizocheza. Mwikongi amepata kuonekana katika filamu ya Behind the Scene, Dear Mama, Sikitiko Langu, na Dangerous Desire. Huyu nae anatoka katika kundi la sanaa la Kaole Sanaa Group.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya sanaa[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Mwikongi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.