Mnjegere-kubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnjegere-kubwa
(Cicer arietinum)
Mnjegere-kubwa wenye maua na makaka
Mnjegere-kubwa wenye maua na makaka
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Faboideae (Mimea inayofanana na mharagwe)
Jenasi: Cicer
L.
Spishi: C. arietinum
L.

Mnjegere-kubwa (jina la kisayansi: Cicer arietinum) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae unaopandwa katika maeneo ya tabianchi yabisi na ya joto.

Mbegu zake huitwa njegere kubwa na hupatikana katika makaka.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mnjegere-kubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.