Mkoa wa Sanaag
Mandhari
Sanaag (kwa Kisomali: Sanaag, kwa Kiarabu: سناج) ni mkoa (gobol) uliopo kaskazini mwa jimbo la Khatumo, ni kati ya mikoa inayojitegemea kiutawala ndani ya Somalia ingawa inagombaniwa na Somaliland na Puntland.[1]
Sanaag ina pwani ndefu inayoangalia Ghuba ya Aden kwa upande wa kaskazini, na imepakana na mikoa ya Woqooyi Galbeed, Togdheer, Sool na Bari.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sanaag kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |