Sool, Somalia
Mandhari
Sool ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa Somalia kaskazini. Una eneo la km2 39,240 na wakazi 618.600 (2019).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sool, Somalia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |