Togdheer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
.

Togdheer (Kisomali: Togdheer‎, Kiarabu: تُوجدَير‎) ni mkoa wa kiutawala (gobol) kaskazini mwa Somalia.[1][2]

Mkoa wa Togdheer umepakana na Woqooyi Galbeed upande wa kaskazini na magharibi, pia Ethiopia upande wa kusini, na mashariki imepakana na mikoa ya Sanaag and Sool.

Mji mkuu wake ukiwa ni Burao (Burco), jina la mkoa limetokana na Mto Togdheer, linalomaanisha mto mrefu kwa lugha ya Kisomali.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Regions of Somalia
  2. Somalia. The World Factbook. Central Intelligence Agency. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Togdheer kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.