Nenda kwa yaliyomo

Khatumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Khatumo katika Somalia na kwenye Pembe la Afrika; buluu nyeupe inaonyesha sehemu zake zisizokubaliwa na majirani

Khatumo (kwa Kisomali: Dowladda Khatumo ee Soomaaliya, Dola la Khatumo katika Somalia) ni jimbo la kujitegema la Somalia.

Jimbo hilo liko kaskazini-mashariki mwa Somalia, kwenye ncha ya Pembe la Afrika. [1]

Mahali pa Puntland katika Somalia na kwenye Pembe la Afrika

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://reliefweb.int/report/somalia/fear-khatumo-ahead-puntland-polls
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Khatumo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.