Mke Mmoja Waume Watatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mke Mmoja Waume Watatu ni riwaya iliyoandikwa na Muhammed Said Abdulla.

Ni miongoni mwa riwaya zinazoonyesha ukinzani miongoni mwa mila na desturi dhidi ya dini ya Uislamu kwani wakati dini ikiamini ndoa ni chuo kinachomfunga mke dhidi ya maovu ya dunia, kuna mila na desturi zinazopandikiza misingi inayokwenda kinyume na misingi hiyo ya kidini. Kwa mfano, kwamba ni lazima mwanamke awe na waume watatu.

Abdulla anamchora mhusika Nemsi akiwa anafanya utafiti juu ya dhana ya ndoa na kuona ya kwamba mwanamke huozeshwa kutoka akiwa na miaka kumi na nne.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mke Mmoja Waume Watatu kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.