Ukinzani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukinzani ni zuio la upitaji wa umeme.

Kifaa kinachotoa ukinzani kwenye sakiti huitwa kikinza au kikinzani [1]; pia: kikinzanishi[2] au resista [3].

Ukinzani hupimwa kwa omu mita wakati kikinza hupimwa kwa omu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. kadiri ya KKK
  2. kwa pendekezo la KKK/ESD
  3. kama KAST ilivyopendekeza
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukinzani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.