Karpati
Mandhari
(Elekezwa kutoka Milima ya Carpathi)
Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1,000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia, (km 1,700).
Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki (3%) kupita Slovakia (17%), Poland (10%), Hungaria (4%) na Ukraine (11%), hadi Romania (51%). [1][2][3][4] Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Poland, ambapo vilele vinazidi mita 2,600 juu ya usawa wa bahari.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [1] "The Carpathians" European Travel Commission, in The Official Travel Portal of Europe, Retrieved 15 November 2016
- ↑ [2] The Carpathian Project: Carpathian Mountains in Serbia, Institute for Spatial Planning, Faculty of Geography, University of Belgrade (2008), Retrieved: 15 November 2016
- ↑ [3] Ilihifadhiwa 1 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine. Bulletin of the Natural History Museum, pg. 54, Valuing the geological heritage of Serbia (UDC: 502.171:55(497.11), Aleksandra Maran (2010), Retrieved 15 November 2016
- ↑ [4] "Sacred Language of the Vlach Bread", Paun es Durlic, Balkankult (2011), Retrieved 15 November 2016
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Blazovich, László (1994). "Kárpátok [Carpathians]". Katika Kristó, Gyula; Engel, Pál; Makk, Ferenc (whr.). Korai magyar történeti lexikon (9-14. század) [Encyclopedia of the Early Hungarian History (9th-14th centuries)] (kwa Kihungaria). Akadémiai Kiadó. uk. 332. ISBN 963-05-6722-9.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help) - Buza, Mircea (2011). "On the origins and historical evolution of toponymy on the territory of Romania" (PDF). Revue Roumaine de Géographie / Romanian Journal of Geography. 55 (1). Institute of Geography, Romanian Academy: 23–36. ISSN 1220-5311. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-04-10. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - Moldovanu, Dragoș (2010). "Toponimie de origine Romană în Transilvania și în sud-vestul Moldovei" (PDF). Anuar de Lingvistică şi Istorie Literară (kwa Kiromania). XLIX–L. Institute of Geography, Romanian Academy: 17–95. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015.
{{cite journal}}
: Invalid|ref=harv
(help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Karpati travel guide kutoka Wikisafiri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Carpathian Mountains. |
- Encyclopedia of Ukraine, vol. 1 — Carpathian Mountains, by Volodymyr Kubijovyč (1984).
- Carpathianconvention.org: The Framework Convention for the Protection and Sustainable Development of the Carpathians
- Orographic map highlighting Carpathian mountains
- Alpinet.org: Romanian mountain guide
- Carpati.org: Romanian mountain guide
- Pgi.gov.pl: Oil and Gas Fields in the Carpathians
- Video: Beautiful mountains Carpathians, Ukraine
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karpati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |