Karpati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Karpati.

Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1,000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia, (km 1,700).

Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki (3%) kupita Slovakia (17%), Poland (10%), Hungaria (4%) na Ukraine (11%), hadi Romania (51%). [1][2][3][4] Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Poland, ambapo vilele vinazidi mita 2,600 juu ya usawa wa bahari.

Milima nchini Romania
Picha kutoka Sanok, Poland
Kežmarok, Slovakia
Milima ya Tatra huko Zakopane, Poland
Wahutsul, walioishi kwenye Karpati, 1872 hivi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] "The Carpathians" European Travel Commission, in The Official Travel Portal of Europe, Retrieved 15 November 2016
  2. [2] The Carpathian Project: Carpathian Mountains in Serbia, Institute for Spatial Planning, Faculty of Geography, University of Belgrade (2008), Retrieved: 15 November 2016
  3. [3] Archived 1 Agosti 2019 at the Wayback Machine. Bulletin of the Natural History Museum, pg. 54, Valuing the geological heritage of Serbia (UDC: 502.171:55(497.11), Aleksandra Maran (2010), Retrieved 15 November 2016
  4. [4] "Sacred Language of the Vlach Bread", Paun es Durlic, Balkankult (2011), Retrieved 15 November 2016

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

      . http://www.rjgeo.ro/atasuri/revue%20roumaine_55_1/M.%20Buza.pdf. Retrieved 27 June 2015.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Karpati travel guide kutoka Wikisafiri

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karpati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.