Nenda kwa yaliyomo

Mišo Kovač

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mate " Mišo " Kovač (alizaliwa 16 Julai 1941) ni msanii wa Korasia. Yeye ndiye msanii anayeuzwa sana kutoka Korasia, akiwa na rekodi, kaseti na diski zaidi ya milioni 20 zilizouzwa hadi sasa, na mara nyingi anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanii maarufu wa muziki kutoka Kusini-mashariki mwa Ulaya . [1] [2]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Kovač alizaliwa huko Šibenik kipindi cha uvamizi wa waitalia wa Dalmatia katika vita vya pili vya dunia. Akiw kama mtoto wa pili wa Zrinka na Jakov Kovač. Mama yake alitoka kisiwa cha Vrgada, na baba yake alitoka wilaya ya Škopinac ya Šibenik. Mišo alikulia katika familia pamoja na kaka yake Ratko na dada yake Blanka. Akiwa mtoto, alikulia katika mtaa wa Šibenik's Varoš, ambapo wanamuziki Vice Vukov na Arsen Dedić waliishi huko. [3] Alipokuwa kijana, alifanya mazoezi ya mpira wa miguu kama kipa na kuanza kucheza kwenye timu ya vijana ya HNK Šibenik, akiwa na ndoto katik soka huko za kuchezea Hajduk Split, ambayo pia alikuwa shabiki wake, mara nyingi akisafiri kwa mashua kutoka Šibenik hadi Split kwenye mechi. Walipokuwa wakifunga alikuwa akiumia sana kwa kuwa alikuwa akiipenda sana timu yake hio . [4]

Aliposikia sikia uimbaji wa mwimbaji anayeishi Šibenik Ljubo Lučev, Kovač mwenye umri wa miaka 16 anaacha soka polepole na anajitolea kwa kuwa mwanamuziki. Aliwasikiliza wasanii maarufu wa Italia kama vile Luciano Tajoli, Tony Dellag na Adriano Celentano na Johnnie Ray wa Marekani. Alimaliza shule ya upili ya viwanda, akijifunza biashara ya upholsterer . Mnamo 1961, kwenye shindano la Prvi glas Šibenika ( First Voice of Šibenik ). Alitumikia Jeshi la Watu wa Yugoslavia huko Belgrade, ambapo alikuwa akiimba Jumamosi usiku, akiburudisha waandikishaji na marafiki zake . Baada ya kumaliza utumishi wake wa kijeshi, alifika Zagreb, ambako aliimbia wanafunzi na kuishi katika kituo cha wanafunzi na mikahawa. [5] [6]

Ameshinda tuzo nyingi za dhahabu, almasi na fedha, pamoja na tuzo za discografia na tuzo za matamasha..Yeye pia ndiye mmiliki wa "Golden Bird" ambayo lebo ya rekodi ya Jugoton / Kroatia ilisambaza kwa wasanii kwa nakala milioni zilizouzwa. [7] Mnamo 2005, Taasisi ya Muziki ya Kikroesia ilimpa utambuzi maalum "kwa idadi kubwa zaidi ya rekodi zilizouzwa katika historia ya discografia ya Kikroesia". [7]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
  • Mišo Kovač (1971, tolea lingine 2008)
  • Portret (1973)
  • Mi smo se voljeli (1974)
  • Oj ti dušo duše moje (1974)
  • Ovo je naša noć (1977, tolea lingine 2008)
  • Uvijek ima nešto dalje (1979, tolea lingine 2008)
  • Čovjek bez adrese (1980, tolea lingine 2008)
  • Jači od vjetra (1981, tolea lingine 2008)
  • Dalmacija u mom oku (1982, tolea lingine 2008)
  • Osjećam te (1983, tolea lingine 2008)
  • Zajedno smo (1984, tolea lingine 2008)
  • Potraži me u pjesmi (1984, tolea lingine 2008)
  • Ostala si uvijek ista (1985, tolea lingine 2008)
  • Ti si pjesma moje duše (1986, tolea lingine 2008)
  • Malo mi je jedan život s tobom (1987, tolea lingine 2008)
  • Samo nas nebo rastavit može (1989, tolea lingine 2008)
  • Suza nebeska (1989)
  • Za kim zvono plače (1990)
  • Pjesma za Edija (1993)
  • Mate Mišo Kovač (1994)
  • Istina o Blajburgu (1994)
  • Mojoj vjernoj publici (1995)
  • Al' je ljubav bolest teška (1996)
  • Osjećam se jači (1998)
  • Budi čovjek dobre volje (1999)
  • Dalmatino (2001)
  • Mir u srce (2004)
  • Ja sam kovač svoje sreće (2006)
  • Ne tražim istinu (2010)


  1. Šimundić Bendić, Tanja (21 Machi 2019). "'ISCRPLJENO TIJELO JE SAMO VUKLO...': Mate Mišo Kovač izlazi iz bolnice nakon duge hospitalizacije". Jutarnji list (kwa Kikorasia). Iliwekwa mnamo 20 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. N.K. (21 Machi 2019). "Legendarni Mišo osjeća se bolje i već priprema spektakl u Zagrebu: "Taj koncert će me pomladiti za 15 godina"". Dnevnik.hr (kwa Kikorasia). Iliwekwa mnamo 20 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Snježana Klarić: Ulica djetinjstva Arsena Dedića, Mate Miše Kovača i Vice Vukova šibenski je ‘hall of fame’, Šibenski portal, 31 August 2012.
  4. Mišo Kovač: Kad je Hajduk gubio, nisam jeo sedam dana, Slobodna Dalmacija, 3 April 2014.
  5. Arkanovac mi je rekao: Da znam tko ti je ubio sina, sprašio bih mu metak u čelo, Večernji list, 19 January 2014.
  6. Mišo Kovač: Hrvatskom sada vlada komunistički feudalizam!, Večernji list, 22 July 2013.
  7. 7.0 7.1 Siniša Škarica: Mate Mišo Kovač Archived 29 Aprili 2014 at the Wayback Machine., Porin.hr
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mišo Kovač kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.