Melissa Barbieri
Mandhari
Melissa Anne Barbieri (alizaliwa 20 Februari 1980) ni golikipa wa kimataifa wa Australia ambaye anachezea klabu ya Melbourne City katika ligi ya A-League Women.
Alicheza mechi zaidi ya 86 akiwa na timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Australia na akashiriki mashindano manne ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake . Barbieri alistaafu katika soka la kimataifa mwaka 2015. [1]
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Barbieri alipata ufadhili wa masomo katika taasisi ya michezo ya Victoria. [2]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Barbieri alipata mtoto wake wa kwanza wa kike, mwaka 2013. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Melissa Barbieri retirement: Matildas veteran goalkeeper retires from international football".
- ↑ "Barbieri set to break the code". AAP/Sydney Morning Herald. 3 Machi 2007. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2008.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melissa Barbieri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |