Nenda kwa yaliyomo

Mdudu-malaika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mdudu-malaika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Nusufaila: Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita)
(bila tabaka): Dicondylia (Wadudu walio na mandibula zenye condyle mbili)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Linnaeus, 1758
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Lang, 1888
Oda: Zoraptera
Silvestri, 1913
Familia: Zorotypidae
Silvestri, 1913
Jenasi: Zorotypus
Silvestri, 1913
Ngazi za chini

Spishi 39 (angalia matini)

Wadudu-malaika (kutokoa Kiing.: angel insects) ni wadudu wadogo wa oda Zoraptera (zor = -zima, apteros = bila mabawa) iliyo na familia moja na jenasi moja tu. Idadi ya spishi zilizopo hadi sasa ni 39 ambapo angalau spishi 9 zimekwisha sasa.

Wadudu hawa wana maumbo mawili. Moja ni jeusi lenye macho na oseli na mabawa yanayoweza kupukutwa kama mchwa hufanya. Umbo ingine ne jeupe bila macho wala oseli wala mabawa. Vipapasio vyao vina pingili tisa kama shanga. Hula arithropodi waliokufa na takataka nyingine. Huishi katika makoloni chini ya gome na katika takataka za vitawi na majani.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Zorotypus amazonensis
  • Zorotypus barberi
  • Zorotypus brasiliensis
  • Zorotypus buxtoni
  • Zorotypus caudelli
  • Zorotypus caxiuana
  • Zorotypus cervicornis
  • Zorotypus ceylonicus
  • Zorotypus cramptoni
  • Zorotypus gurneyi
  • Zorotypus hamiltoni
  • Zorotypus hubbardi
  • Zorotypus huxleyi
  • Zorotypus impolitus
  • Zorotypus javanicus
  • Zorotypus juninensis
  • Zorotypus lawrencei
  • Zorotypus leleupi
  • Zorotypus longicercatus
  • Zorotypus magnicaudelli
  • Zorotypus manni
  • Zorotypus medoensis
  • Zorotypus mexicanus
  • Zorotypus neotropicus
  • Zorotypus newi
  • Zorotypus novobritannicus
  • Zorotypus philippinensis
  • Zorotypus shannoni
  • Zorotypus silvestrii
  • Zorotypus sinensis
  • Zorotypus snyderi
  • Zorotypus swezeyi
  • Zorotypus weidneri
  • Zorotypus zimmermani
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu-malaika kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hiyo kuhusu "Mdudu-malaika" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.