Nenda kwa yaliyomo

Hifadhi ya Taifa ya Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mbuga ya Kitaifa ya Meru)
Mbuga ya Kitaifa ya Meru, Kenya

Hifadhi ya Taifa ya Meru imekuwa yenye shughuli kabambe na yenye watalii chungu nzima waliofurika furifuri ili kujionea maajabu ya Mlima Kenya.

Huku kuna wanyama si haba ambao hutokea misitu iliyokaribia Mlima Kenya.

Huku watalii huzuru ili kuikwea milima na kuipata hewa safi.