Mboga (mmea)
Mandhari
Mboga | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mboga-refu
(Cucurbita moschata) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Miboga, pia milenge, ni mimea ya familia Cucurbitaceae kwenye jenasi Cucurbita, Momordica na Coccinia. Hukuzwa sana duniani kokote kwa ajili ya matunda yao makubwa yanayoitwa maboga.
Spishi zinazokuzwa katika Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Coccinia grandis, Mboga-mwitu au Mruho (Ivy gourd)
- Cucurbita maxima, Mboga-kubwa au Mlenge (Cucurbita maxima)
- Cucurbita moschata, Mboga-refu, unatimiza Mboga-chupa (Cucurbita moschata)
- Cucurbita pepo, Mboga wa Kawaida au Mlenge, unatimiza Mboga-dogo na Mboga-jeupe (Cucurbita pepo)
- Momordica charantia, Mboga-chungu, Mtango-chungu au Mkarela (Bitter gourd)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mrihu (mboga-mwitu)
-
Mboga-kubwa
-
Mboga-refu
-
Mboga-chupa
-
Mlenge
-
Maboga meupe
-
Mboga-dogo
-
Mkarela (mboga-chungu)