Mbilimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbilimbi
(Averrhoa bilimbi)
Mbilimbi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Oxalidales (Mimea kama mbilimbi
Familia: Oxalidaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbilimbi)
Jenasi: Averrhoa
L.
Spishi: A. bilimbi
L.

Mbilimbi au mbirimbi (Averrhoa bilimbi) ni mti unaozaa mabilimbi. Mti huu unatoka Asia na umepandwa sana katika kisiwa cha Unguja (Zanzibar).

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbilimbi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.