Mbilimbi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Averrhoa bilimbi)
Mbilimbi (Averrhoa bilimbi) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mbilimbi au mbirimbi (Averrhoa bilimbi) ni mti unaozaa mabilimbi. Mti huu unatoka Asia na umepandwa sana katika kisiwa cha Unguja (Zanzibar).
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mabilimbi mabichi
-
Mabilimbi mabivu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbilimbi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |