Mayo (Bumbuli)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kijiji cha Mayo

Mayo ni kata ya Wilaya ya Bumbuli katika Mkoa wa Tanga, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 12,218 [1] waishio humo.

Mahali Mayo ilipo[hariri | hariri chanzo]

Mayo ni sehemu ya tarafa ya Bumbuli. Kijiji cha Mayo kipo upande wa mashariki wa mji wa Bumbuli, kijiji hiki kipo kwenye mlima. Kijiji cha Mayo kinapakana na kijiji cha Mgwashi kwa upande wa Kaskasini Mashariki. Vijiji vya Mayo na Mgwashi vinatenganishwa na msitu mkubwa wa Mazumbai. Wakazi wa eneo hili ni Wasambaa na shughuli yao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula na biashara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Bumbuli - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Baga | Bumbuli | Dule "B" | Funta | Kisiwani | Kwemkomole | Maheza Ngulu | Mamba | Mayo | Mbuzii | Mgwashi | Milingano | Mponde | Nkongoi | Soni | Tamota | Usambara | Vuga


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mayo (Bumbuli) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.