Marwa Ryoba Chacha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Marwa Ryoba Chacha (alizaliwa 25 Machi 1978) ni mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Serengeti katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015[1].

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Serengeti kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]