Nenda kwa yaliyomo

Mark Addy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Addy.

Mark Ian Addy (alizaliwa 14 Januari 1964) ni mwigizaji Mwingereza.

Anajulikana kwa kazi mbalimbali katika televisheni ya Uingereza, ikiwa ni pamoja na filamu ya Detective Constable Gary Boyle, pia katika sitcom The Thin Blue Line (1995-1996) na Hercules katika fantasia ya mfululizo wa filamu ya Atlantis (2013-2015).

Alifanya filamu yake ya kwanza kama Dave Horsefall katika The Full Monty (1997), na kupata uteuzi kwa BAFTA tuzo ya Best Actor.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Addy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.