Marion Stevenson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marion Scott Stevenson (Mei 1871 - 1930[1]) alikuwa mmisionari wa Kanisa la Uskoti kutoka Ufalme wa Muungano nchini Kenya, Afrika Mashariki, tangu 1907 hadi 1929.[2]

Stevenson alifanya kazi kanisa la Wakikuyu ujumbe wa Thogoto kuanzia mwaka 1912 kwa ajili ya utume huko Tumutumu katika Karatina iliyoanzishwa na Rev. Henry Scott na Dk John Arthur mwaka 1908.[3]

Alianzisha shule ya wasichana ambayo ikawa shule ya sekondari ya Tumutumu iliyolenga kufundisha kushona, usafi, walifanya kazi katika hospitali, na kusaidia kutafsiri Biblia.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Stevenson alizaliwa Forfar Scotland wazazi wake Agnes Barron na Robert Stevenson. .[1],Kaka yake mkubwani William Barron Stevenson ambaye akawa profesa wa lugha ya Kiebrania katika Chuo Kikuu cha Glasgow.][4][5]

Alisoma taasisi ya John Watson na Chuo cha Ministers' Daughters College huko Edinburgh, alihudhuria kwenye mihadhara iliyoandaliwa na Chama cha Edinburgh kwa elimu ya chuo kikuu cha wanawake, na baadae alisoma muziki na lugha nchini Ujerumani.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Scotland Births and Baptisms, 1564–1950: Marion Scott Stevenson". FamilySearch. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 March 2016.  Check date values in: |archivedate= (help)
  2. McIntosh, Brian G. (June 1969). The Scottish Mission in Kenya, 1891–1923, University of Edinburgh, p. 208, n. 29.
  3. For 1912, McIntosh 1969, p. 241, n. 120.
  4. McIntosh 1969, p. 201, n. 14.
  5. "Material relating to William Barron Stevenson" Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine, University of Glasgow.
  6. McIntosh 1969, p. 245, n. 127.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.