Nenda kwa yaliyomo

Maria Leonia Paradis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maria Leonia mwaka 1906.

Maria Leonia Paradis (kwa Kifaransa Marie-Léonie; awali: Virginie-Alodie Paradis au kwa kawaida zaidi: Élodie Paradis; Sainte-Marguerite-de-Blairfindie, Quebec, 12 Mei 1840Sherbrooke, Quebec, 3 Mei 1912) alikuwa bikira Mkristo wa Kanada ambaye alianzisha shirika la kitawa la Masista Wadogo wa Familia Takatifu kwa ajili ya kusaidia mapadri katika utendaji wao na katika maisha ya kila siku[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 11 Septemba 1984, na Papa Fransisko mtakatifu tarehe 20 Oktoba 2024.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.