Makutopora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuhusu kata ya Dodoma yenye jina la kufanana angalia hapa Makutupora

Makutopora ni kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43405[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,635 waishio humo.[2]

Makutopora iliteuliwa kuwa na kituo cha reli ya SGR Tanzania, awamu ya pili ya reli hii ilianza kujengwa mwaka 2019 kati ya Morogoro na Dodoma - Makutupora[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makutopora kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania

Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutopora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya