Majadiliano ya mtumiaji:Tomson G Wiston

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Tomson salaam! Nimeona makala yako ya nguo. Ni chanzo chema ila tu naomba usiiache hivihivi. Maana makala mafupi mno hazisaidii sana. Kuna pia tatizo la kuingiliana na makala nyingine ya mavazi,

Katika umbo kuna pia kasoro mbili mazito:

  • hakuna jamii (category) chini yake
  • hakuna mpangilio wa lugha.

Kama ungetafuta jamii inayoweza kufaa ungeona pia ya kwamba jambo unalojadili kuna tayari makala mavazi. Hii unaweza kupanusha. Lakini ilhali "nguo" ina maana mawili tofauti yaani a) vazi na b) kitambaa unaweza pia kubadilisha makala kujadili habari za vitambaa. Hapa ningekushauri angalia kwenye wikipedia ya Kiingereza makala ya textile (ni ndefu), pia simple.wikipedia.org kwa "simple:textile" (ni fupi zaidi). Hapa unaweza kupata mawazo inafaa kutaja habari gani. Unaweza kutafsiri pia sentensi kadhaa (lakini usitafsiri sentensi ndefu za Kiingereza moja kwa moja maana tokeo lake mara nyingi si Kiswahili tena) .

Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya vita ya Maji Maji ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. Kipala (majadiliano) 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)[jibu]

Kipala samahani sijui kuchangia kwa kutumia smartphone je nifanyaje Jr 14:25, 16 Julai 2022 (UTC)

Riccardo sijui kuhariri (kuchangis) Kwa kutumia smartphone he nifanyeje??[hariri chanzo]

Learning Jr 10:51, 2 Juni 2022 (UTC)

Samahani, mimi hata simu sina... Sijui ufanyeje. Umuulize mkabidhi mwingine yeyote. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:23, 3 Juni 2022 (UTC)[jibu]
Naona kuhariri kwa simu itakuwa changamoto kwa wengi, pia kwake Tomson G Wiston. Nikiangalia swali lake, tayari ameshakosea mara 2 tahajia ("kuchangis" badala ya "kuchangia"; "he" badala ya "je"). Si rahisi kuharir vema ukiwa na simu tu. Hakika asijaribu matini ndefu. Menginevyo anahitaji tu nafasi ya kujiunga na intaneti, simu janja halafu aingie sw.m.wikipedia.org na kuhariri. Kipala (majadiliano) 18:37, 3 Juni 2022 (UTC)[jibu]
sawa Jr 09:22, 17 Januari 2023 (UTC)