Majadiliano ya mtumiaji:Said Mfaume
Weka madaKaribu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Edward ambele (majadiliano) 07:53, 25 Juni 2024 (UTC)
- Ahsante sana! Said Mfaume (majadiliano) 10:59, 21 Julai 2024 (UTC)
Oya dogo, muda ukikuruzuku, naomba hii orodha uikamilishe hata kwa makala fupi. Nimeweka viungo vyekundu vingi. Nisingependa viendelee sana. Nipigie hiyo dogo! MuddybLonga 17:53, 9 Februari 2025 (UTC)
- Sawa bosi kuba. Kuna vimeo niliacha kule Wikamusi. Ninaheshimu uamuzi wako. Nitaunda kama ulivyotaka. Said Mfaume (majadiliano) 06:55, 11 Februari 2025 (UTC)
Share Your Feedback – Wiki Loves Ramadan 2025
[hariri chanzo]Dear Said Mfaume
Thank you for being a part of Wiki Loves Ramadan 2025 — whether as a contributor, jury member, or local organizer. Your efforts helped make this campaign a meaningful celebration of culture, heritage, and community on Wikimedia platforms.
To help us improve and grow this initiative in future years, we kindly ask you to complete a short feedback form. Your responses are valuable in shaping how we support contributors like you.
- Feedback Form: Submit your feedback here
- Deadline to submit: 31 May 2025
It will only take a few minutes to complete, and your input will directly impact how we plan, communicate, and collaborate in the future.
Thank you again for your support. We look forward to having you with us in future campaigns!
Warm regards,
Wiki Loves Ramadan International Team 08:51, 19 Mei 2025 (UTC)
Uharabu ya Alli Talesi
[hariri chanzo]Maalum:Michango/InezaYose, Maalum:Michango/Kk_Warriors, Maalum:Michango/Lorri_Cop. ~2025-29174-3 (talk) 07:53, 30 Julai 2025 (UTC)
I corrected all MANUALLY, since you placed there multiple garbage like TRIANGLES "▶", NOWIKINGS, etc... ~2025-29280-4 (talk) 08:29, 30 Julai 2025 (UTC)
- @~2025-29280-4 I believe you could have just informed me without harsh/mockery language. Said Mfaume (majadiliano) 08:48, 30 Julai 2025 (UTC)
FYI: Revert is NOT "magic repair", not always previous revision is perfect. JnezaYose (majadiliano) 11:18, 30 Julai 2025 (UTC)
Inversion
[hariri chanzo]Maalum:Michango/Cop_Lorri - editeur normale, Maalum:Michango/Lorri_Cop - editeur vandale. Ce est une identification faux inverse! Voir journal des blocages. ~2025-29406-8 (talk) 11:39, 30 Julai 2025 (UTC)
- @~2025-29406-8 C'est un travail très difficile, surtout avec les comptes temporaires. Ils ont causé beaucoup de problèmes, et cela perturbe énormément les administrateurs et les autres utilisateurs sans raison. Said Mfaume (majadiliano) 14:00, 30 Julai 2025 (UTC)
What? Normal account globally blocked and VANDAL left to roam freely? JnezaYose (majadiliano) 14:13, 30 Julai 2025 (UTC)
- @JnezaYose That is your opinion which you are entitled too. Said Mfaume (majadiliano) 18:41, 30 Julai 2025 (UTC)
Makabila
[hariri chanzo]Hongera kwa juhudi zako. Naomba katika kurasa unazounda kuhusu makabila, uweke interlink na Wikipedia za lugha nyingine; pia [[kigezo:mbegu]] inafaa kiwe [[kigezo:mbegu-utamaduni|mbegu-utamaduni]]. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:00, 6 Agosti 2025 (UTC)
- @Riccardo Riccioni Unisame kwa pupa zangu. Nilikuwa kwanza ninakimbizana na ratiba kabla ya dirisha la kunakiri mwenendo halijafungwa. Kwa yakini nitakuwa ninaboresha kila wakati. Hata hivyo, nimeona mwalimu wangu mwingine mbali na wewe Nd. @Muddyb ameboresha kama usemavyo hapo juu. Nitakuwa makini zaidi. Shukrani mno kwa taarifa. Said Mfaume (majadiliano) 14:25, 14 Agosti 2025 (UTC)