Majadiliano ya mtumiaji:Nduati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:45, 21 Novemba 2009 (UTC)

M-Pesa[hariri chanzo]

Habari, Nduati. Umeona kwamba nimefanya masahihishofulani kwenye makala ya M-Pesa. Bado nitaendelea kusaidia katika baadhi ya makala - na nitakutakia uchangiaji mwema. Ukiwa una swali, basi we uliza tu! Wako,--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:58, 25 Novemba 2009 (UTC)

Martin, umeona kwamba nimekusaidia kuongeza kitu kama lugha kwenye jedwali la kutajia lugha na kadhalika. Ukitaka kujua nimefanya nini, basi tazama hapa. Ukiwa una swali uliza. Ninajua fika hujui namna gani ya kuuliza swali! Usipate tabu, fungua hapa na utaweza kuandika malezo yako chini ya maandishi haya ninayoandika mimi. Kumbuka, usipandanishe maandishi. Andika chini ya maandishi ya juu. Jibu hapa-hapa kwako. Kisha baadaye ukizoea utaweza kutumia ukurasa mwingine! Karibu sana.--Muddyb MwanaharakatiLonga 15:50, 25 Novemba 2009 (UTC)