Majadiliano ya mtumiaji:Mwambenewj

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Baba Tabita (majadiliano) 17:09, 26 Januari 2016 (UTC)[jibu]


Naomba ubadilishe mwelekeo wako![hariri chanzo]

Ndugu naona unajitahidi kupeleka hapa habari za KKKT na ushirika wako. Ila tu jinsi unavyoifanya haifai si mahali pake. Tunahitaji makala mengi kuhusu KKKT na vitengo vyake. Ila tgu hapa ni kamusi si jarida wala mahala pa kutangaza mahubiri ya viongozi au kuleta majadiliano kuhusu maamuzi ndani ya ushirika mmoja. Tunachohitaji ni makala kuhusu muundo na shabaha na kazi ya KKKT (pamoja na dini au madhehebu yote mengine) lakini kwa namna ya kamusi. Tunalenga kukusanya habari za kikamusi.

Nahofia makala zako zote tzitafutwa karibuni. Ukipenda kuchangia usikate tamaa bali tunga makala ya kimsingi: mfano ushirika fulani uko wapi, katika miji au kata gani, kuna watu wangapi, mahudhurio ni yapi, kuna majengo au matawi ya kazi, ni sehemu ya dayosisi au jimbno gani... Habari hizi tunahitaji mara 1,000 kwa kila ushirika, jimbo, dayosisi. Majdiliano ya ndani - si mahali pake. Kipala (majadiliano) 20:20, 26 Januari 2016 (UTC)[jibu]

Mpendwa umeharibu makala muhimu Wikipedia:Mwongozo kwa kuingiza habari zisizo na maana yoyote. Nakubana sasa kwa wiki moja naomba utafakari sana. Sijui ulifanya hii kwa kusudi gani au kama labda huelewi punje kuhusu kazi yetu hapa. Unakaribishwa kuuliza maswali yote lakini usirudie kitu kama hiki! Kipala (majadiliano) 16:37, 20 Juni 2016 (UTC)[jibu]