Majadiliano ya mtumiaji:Kidawish Daniel
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Edward ambele (majadiliano) 06:46, 16 Desemba 2023 (UTC)There is a page named "Messi" on Wikipedia. See also the other search results found.
View (previous 20 | next 20) (20 | 50 | 100 | 250 | 500) Lionel Messi Lionel Andrés Messi (matamshi ya Kihispania: [ljonel andɾes mesi]; alizaliwa 24 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina anayecheza katika... 14 KB (1,658 words) - 09:43, 16 December 2022 Mchezaji kikapu Mchezaji wa mpira wa mikono Mchezaji wa mpira wa miguu maarufu kwa jina la Lionel Messi Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu, Cristiano Ronaldo... 675 bytes (63 words) - 14:13, 10 November 2019 La Masia wachezaji bora wa dunia (Ballon d'Or) wachezaji hao ni Andres Iniesta, Lionel Messi na Xavi. La Masia pia ni jina la mafunzo ya soka ya FC Barcelona, Awali... 1 KB (139 words) - 13:35, 27 May 2018 24 Juni 1983 - John Lloyd Cruz, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino 1987 - Lionel Messi, mchezaji wa mpira kutoka Argentina 238 - Maximinus Thrax, Kaisari wa Dola... 2 KB (213 words) - 13:25, 1 October 2023 1987 Juni - Semra Kebede, mwigizaji wa filamu kutoka Ethiopia 24 Juni - Lionel Messi, mchezaji wa mpira kutoka Argentina 26 Juni - Samir Nasri, mchezaji mpira... 3 KB (364 words) - 20:14, 3 July 2016 Timu ya Taifa ya Kandanda ya Argentina adhabu ya utata katika dakika ya 87. Argentina, iliyoongozwa na Lionel Messi ilifanya mechi yao ya tano katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014,... 1 KB (174 words) - 00:32, 9 June 2020 Mshambuliaji nyingi zilitumia mfumo unaohusisha nafasi hii kwa kiasi kikubwa. Lionel Messi wa klabu ya Barcelona amekua mchezaji mwenyemafanikio sana katika miaka... 13 KB (1,469 words) - 10:55, 28 August 2022 Manuel Neuer Mnamo 2014, Neuer alimaliza wa tatu katika upigaji kura, nyuma ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, kwa tuzo ya FIFA Ballon d'Or. Alipewa Kipa wa UEFA... 1 KB (122 words) - 13:14, 27 September 2020 Olubayo Adefemi ambayo ilimaliza ya pili nyuma ya timu ya Argentina iliyoongozwa na Lionel Messi katika Mashindano ya Vijana ya Kombe la Dunia ya FIFA 2005 huko Uholanzi... 2 KB (192 words) - 05:59, 22 September 2023 Mpira wa miguu Arjentina Michael Ballack wa Ujerumani Pablo Aimar Carlos Tevez Lionel Messi wa Arjentina Dennis Bergkamp Jared Borgetti wa Mexico Fabio Cannavaro wa... 16 KB (1,492 words) - 10:39, 1 May 2023 Neymar Jr kwendujiunga na Barcelona. Akiwa kama mshambuliaji akisaidiana na Lionel Messi na Luis Suárez, alishinda kombe la La Liga, Copa del Rey, na Ligi ya Mabingwa... 2 KB (280 words) - 18:37, 1 February 2023 Luke Fleurs Kigezo:Soccerway FIFA U-20 World Cup 2019 - News - Fleurs: Nipo tayari kwa Messi au Ronaldo wa baadaye - FIFA.com. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2020. "Ndoto... 3 KB (217 words) - 12:17, 12 July 2023 Raúl Blanco bora wa ligi kuu ya Uhispania na mfungaji wa tano akiwa nyuma ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Telmo Zarra na Hugo Sanchez. Mwaka 2003 alichaguliwa... 2 KB (257 words) - 05:47, 14 July 2021 Andres Iniesta tisa.Iniesta alishinda tuzo ya mchezaji bora wa UEFA mwaka 2012. Alikuwa mchezaji bora wa dunia wa tatu nyuma ya Messi aliyekuwa wa kwanza mwaka 2010.... 2 KB (279 words) - 15:26, 24 September 2019 Cristiano Ronaldo Madrid, Ronaldo alimaliza mchezaji wa Ballon d'Or mara tatu, nyuma ya Lionel Messi, mpinzani wake wa kazi, kabla ya kushinda Ballons d'Or ya 2013 na 2014.... 8 KB (1,087 words) - 09:20, 6 June 2023 Bojan Krkić wakati wa umri wa miaka 17 na siku 19, kuvunja rekodi iliyowekwa na Lionel Messi. Katika msimu wake wa kwanza, alifunga mabao 12 katika mechi 48. Kwa jumla... 2 KB (248 words) - 13:13, 21 January 2023 Xavi juu ya 6 (mara moja kwa Puyol, mara nyingine kwa Henry na mara mbili kwa Messi), na utendaji huu na kazi hii ilisababisha Barcelona kushinda taji la 2009... 16 KB (1,236 words) - 02:49, 26 December 2021 PES 2010 2009. Mchezo wenyewe ulitolewa tarehe 23 Oktoba 2009 huko Uropa. Lionel Messi (FC Barcelona na mchezaji wa Argentina) ni mchezaji muhimu wa kuidhinisha... 2 KB (390 words) - 13:42, 7 February 2021 Wasafwa watoto huitwa Ronaldo, Beckham, Rooney, Nelly, Awilo, Yesu, Lowasa, Kikwete, Messi, Zidane na mengine mengi. Wasafwa wengi ni Wakristo na Wapagani, labda nusu... 15 KB (2,257 words) - 13:10, 2 March 2022 Savio Nsereko (redirect from Issaka Rafael Messi) Savio Nsereko (anajulikana kama Savio; amezaliwa Kampala, Uganda, 27 Julai, 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu; anaweza kucheza kama mshambuliaji au winga... 7 KB (515 words) - 05:12, 12 September 2022