Majadiliano ya mtumiaji:JOSEPH ADAM KESSY
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
Pamoja na salamu hii nakuomba uangalie SANA mwiko kuhusu kuandika juu yako mwenyewe nje ya ukurasa wako wa mtumiaji. Kipala (majadiliano) 11:31, 2 Oktoba 2020 (UTC)
Joseph Adam Kessy ( amezaliwa Moshi,Tanzania, 23 Novemba 1997)ni Afisa Kilimo na Mifugo wakujitegemea katika wilaya ya Moshi vijijini.
Elimu
Ana diploma ya Kilimo na Mifugo (2017-2019) kutoka chuo cha kilimo na Mifugo Kilacha Himo,Kilimanjaro.
2012-2015 Joseph alipata elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Pakula, Kilimanjaro na miaka 2004-2011, alisoma Shule ya Msingi Manu, Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Uzoefu wa kazi
Joseph alipomaliza elimu yake ya Kilimo na Mifugo katika chuo cha Kilimo na Mifugo Kilacha, Himo Kilimanjaro, Tanzania mwaka 2019 akaanza kutumia taaluma yake ya Kilimo na Mifugo kwa kutibu wanyama, kutoa ushauri wa kilimo na ufugaji bora wenye tija hadi sasa
Kukuzuia
[hariri chanzo]Imenibidi kukuzuia kwa sababu unazidi kuvunja mwiko wa kutoandika juu yako. Unajiona wewe ni nani? Nakushukuru uachane na majivuno. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:19, 10 Oktoba 2020 (UTC)