Magamaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Magamaga
Magamaga mbavu-kahawia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Cisticolidae (Ndege walio na mnasaba na videnenda)
Jenasi: Heliolais Sharpe, 1903

Oreolais Nguembock, Fjeldså, Couloux, Cruaud & Pasquet, 2008
Oreophilais Clancey, 1991
Phragmacia Brooke & Dean, 1990
Prinia Horsfield, 1821
Schistolais Wolters, 1980
Scotocerca Sundevall, 1872
Urolais Alexander, 1903

Spishi: Angalia katiba.

Magamaga ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Cisticolidae. Wanafanana na videnenda lakini mkia wao ni mrefu zaidi na hawana michirizi mizito. Karibu na nusu ya spishi za Prinia zinatokea Asia lakini spishi zote nyingine zinatokea Afrika. Hawa ni ndege wa maeneo wazi yenye manyasi marefu na vichaka. Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya manyasi au kichaka karibu na ardhi; mara nyingi tago limefunika. Jike huyataga mayai 2-5.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za Asia[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]