Matokeo ya utafutaji
Showing results for ziwa. No results found for Ziqo.
- Ziwa ni gimba kubwa la maji linalozungukwa na nchi kavu pande zote. Tofauti na bahari ni ukubwa na kutobadilishana maji na bahari kuu. Lakini maziwa kadhaa...1 KB (maneno 150) - 09:40, 30 Desemba 2021
- Ziwa Viktoria (pia: Ziwa Nyanza au Ziwa Ukerewe) ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda. Eneo la maji ya ziwa...15 KB (maneno 647) - 09:57, 4 Mei 2022
- Ziwa Tanganyika ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika ya Kati likienea mpakani mwa Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia. Ni ziwa...13 KB (maneno 1,618) - 17:28, 11 Oktoba 2023
- Ziwa Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki likiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria...7 KB (maneno 983) - 12:02, 28 Septemba 2021
- 3°35′N 36°7′E / 3.583°N 36.117°E / 3.583; 36.117 Ziwa Turkana ni ziwa kubwa lililopo katika kaskazini yabisi ya Kenya. Halina mto unaotoka, hivyo maji...17 KB (maneno 1,707) - 08:13, 25 Machi 2020
- 417 Ziwa Rukwa ni ziwa kubwa la magadi nchini Tanzania. Liko upande wa kusini magharibi wa nchi, karibu na Zambia, kati ya Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa...2 KB (maneno 215) - 10:41, 28 Mei 2024
- Ziwa Albert - pia Albert Nyanza, Ziwa Mwitanzige, na zamani kwa miaka michache Ziwa Mobutu Sese Seko - ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika. Ni ziwa kubwa...4 KB (maneno 338) - 07:46, 17 Mei 2022
- Ziwa Edward (au Ziwa Rutanzige; pia: Edward Nyanza) ndilo ziwa dogo zaidi kati ya Maziwa Makuu ya Afrika. Liko magharibi mwa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki...7 KB (maneno 835) - 07:47, 17 Mei 2022
- Ziwa Dweru (au ziwa George la Uganda) ni ziwa dogo (km2 250) la eneo la Maziwa Makuu ya Afrika. Liko nchini Uganda kwenye Ikweta. Ziwa Dweru linachangiwa...922 bytes (maneno 68) - 12:22, 20 Juni 2019
- Ziwa Elmenteita (pia: Elmentaita, Elementaita) ni ziwa la magadi, katika eneo la mashariki la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kilomita 120 kaskazini...4 KB (maneno 368) - 03:43, 26 Desemba 2021
- Ziwa Nakuru ni mojawapo ya maziwa ya magadi katika Bonde la Ufa. Linapatikana kusini mwa mji wa Nakuru, katika eneo la kati nchini Kenya na linazungukwa...6 KB (maneno 800) - 19:03, 29 Septemba 2019
- Ziwa Kayumbu (au Kayumba) ni ziwa dogo la Uganda, karibu na ziwa Chahafi (wilaya ya Kisoro). • Orodha ya maziwa ya Uganda...415 bytes (maneno 21) - 08:50, 15 Machi 2019
- Ziwa la chumvi (kwa Kiingereza: salt lake) ni aina ya ziwa ambalo maji yake huwa na kiwango kikubwa cha chumvi ndani yake. Kwa kawaida karibu kila mahali...3 KB (maneno 370) - 19:11, 5 Novemba 2019
- Ziwa Kachera (piaː Kachira, Kachra) ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Mbarara. Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 36.88. Geonames...498 bytes (maneno 28) - 11:44, 14 Machi 2019
- Ziwa Magadi lipo kusini mwa Kenya katika eneo la Bonde la Ufa, kaskazini mashariki kwa Ziwa Eyasi. Ni ziwa la chumvi na kiwango chake cha uchumvi kinazidi...4 KB (maneno 392) - 12:08, 9 Oktoba 2019
- (kaunti ya Baringo). Ziwa Bogoria, kama vile Ziwa Nakuru, Ziwa Elmenteita, na Ziwa Magadi kusini zaidi katika Bonde la Ufa, na Ziwa Logipi kaskazini, ni...5 KB (maneno 640) - 15:41, 16 Oktoba 2022
- Ziwa Bisongo (au Ziwa Bisongu au Ziwa Ngoma) ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania. Linapatikana katika mkoa wa Kagera. Orodha ya maziwa ya Tanzania...298 bytes (maneno 25) - 13:10, 3 Juni 2018
- Ziwa Aral (kwa Kikazakhi: Арал теңізі Aral tengizi, kwa Kiuzbeki: Orol dengizi, kwa Kirusi: Аральскοе мοре Aralskoye more) ni ziwa la Asia ya Kati, mpakani...2 KB (maneno 288) - 09:02, 9 Mei 2022
- Ziwa Mujunju (pia: Ziwa Rwakajunju) ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania. Linapatikana katika mkoa wa Kagera. Orodha ya maziwa ya Tanzania Geonames.org...370 bytes (maneno 24) - 07:29, 4 Juni 2018
- Ziwa Naivasha ni moja ya maziwa makubwa nchini Kenya (Kaunti ya Nakuru). Ndani yake vinapatikana visiwa vifuatavyo: Kisiwa cha Hilali (kaunti ya Nakuru)...892 bytes (maneno 50) - 01:01, 21 Januari 2021