Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for warangi. No results found for Waran18.
- Warangi ni mojawapo kati ya makabila yanayopatikana katika wilaya ya Kondoa, mkoa wa Dodoma, mji ambao ndiyo makao makuu ya nchi ya Tanzania. Kirangi...4 KB (maneno 447) - 09:07, 13 Januari 2024
- Kisu cha Warangi ni kifaa cha chuma. Kwa Kirangi huitwa "lʉfyo" kwa jumla, au kama ni maalum, huitwa “nyaasʉka”. Kisu cha Warangi kilikuwa na makali pande...726 bytes (maneno 75) - 08:36, 13 Januari 2024
- Shikilio la Warangi ni mti uliokaa panda. Kwa Kirangi huitwa "ntambarɨko". Mti huo ulitumika kwa kubana chungu (yaani kukizuia) wakati wa kupika chakula...930 bytes (maneno 93) - 08:42, 13 Januari 2024
- Baragumu ya Warangi ni aina ya upembe wa mnyama uliokatwa pande zote, ndiyo baragumu au mbiu inayotumiwa katika utamaduni ya Warangi. Kwa Kirangi huitwa...971 bytes (maneno 94) - 09:14, 13 Januari 2024
- Ngoma ya Warangi ni aina ya ngoma ilitengenezwa kwa ngozi ya mnyama wa porini hasa dikidiki. Kwa Kirangi huitwa "ntangasa". Ngoma hiyo hutumika wakati...622 bytes (maneno 59) - 09:40, 13 Januari 2024
- Kinu cha Warangi ni aina ya chombo ambacho hutengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "kʉnyu". Kinu hutumika kwa kutwangia nafaka ili kuondoa makapi, maganda...589 bytes (maneno 55) - 10:43, 31 Julai 2019
- Kihori cha Warangi ni aina ya chombo kinachotengenezwa kwa mti. Kwa Kirangi huitwa "mʉlaambo". Chombo hicho hutumika kuwekea maji, kulowekea mtama na...648 bytes (maneno 54) - 09:13, 13 Januari 2024
- Kipekecho cha Warangi kilichongwa kutokana na mti. Kwa Kirangi huitwa "lʉfire". Hutumika kwa kupekechea uji, ugali, au maziwa yaliyoganda. Kipekecho cha...637 bytes (maneno 55) - 08:40, 13 Januari 2024
- Kirindo cha Warangi ni aina ya ghala ya nafaka. Kwa Kirangi huitwa "kɨome". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa na magome ya miti, na kilitumika hasa kuhifadhi...613 bytes (maneno 58) - 06:17, 26 Oktoba 2017
- Jembe la Warangi ni aina ya chombo kilichotengenezwa kwa chuma kwa kutumia ufundi wa jadi. Kwa Kirangi huitwa "isɨrɨ". Jembe lilitumika kwa kulimia. Jembe...611 bytes (maneno 57) - 10:41, 31 Julai 2019
- Sagio la Warangi ni aina ya kifaa kilichotengezwa kutokana na mawe. Kwa Kirangi huitwa "lwaala". Sagio lilitumika kwa kusagia nafaka ili kupata unga....607 bytes (maneno 58) - 10:43, 31 Julai 2019
- Upawa wa Warangi ni aina ya chombo cha kuchotea hasa pombe. Kwa Kirangi huitwa "ndʉvo". Chombo hicho kilitokana na aina fulani ya maboga au mamumunya...621 bytes (maneno 61) - 08:56, 13 Januari 2024
- Sanduku la Warangi ni aina ya kibuyu kikubwa kilichokatwa mdomo mkubwa. Kwa Kirangi huitwa iduunde. Kibuyu hicho kilitumika kwa kuwekea dawa hasa zilizotumika...712 bytes (maneno 68) - 08:41, 13 Januari 2024
- Shoka la Warangi ni aina ya kifaa ambacho hutengenezwa kwa chuma na mpini wa mti. Kwa Kirangi huitwa "chaárya" kwa jumla, na “siraanga” kama ni maalum...687 bytes (maneno 68) - 08:46, 13 Januari 2024
- Tungu la Warangi ni aina ya kibuyu cha wastani. Kilitumika kwa kuchekechea maziwa yaliyoganda ili kutenganisha maziwa mgando (yaani mtindi) na samli (mafuta...695 bytes (maneno 68) - 10:29, 13 Januari 2024
- Kibuyu kikubwa cha Warangi ni aina ya kibuyu cha kuwekea maji, pombe au mbegu ya nafaka. Kwa Kirangi huitwa "sʉa". Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006...555 bytes (maneno 49) - 10:41, 31 Julai 2019
- Chombo cha kuwekea tumbaku cha Warangi ni kwa ajili ya tumbaku iliyosagwa. Kwa Kirangi huitwa "súse". Chombo hicho kilikuwa hutengenezwa kutokana na pembe...712 bytes (maneno 68) - 09:14, 13 Januari 2024
- Chombo cha kukamulia cha Warangi ni chombo kama kinu kidogo. Kwa Kirangi huitwa "kɨremo". Chombo hicho hutengenezwa kwa mti laini. Hutumika kwa kukamulia...716 bytes (maneno 71) - 10:44, 31 Julai 2019
- Bangili ya Warangi ni aina ya pambo la kuvaa mkononi. Kwa Kirangi huitwa "ikéénke". Pambo hilo lilivaliwa hasa na akina Baba. Linatengenezwa kutokana...2 KB (maneno 121) - 09:15, 13 Januari 2024
- Kibuyu kidogo cha Warangi ni aina ya kibuyu chenye shingo. Kwa Kirangi huitwa "mʉʉmbʉ". Kibuyu hicho kilitumika kuwekea dawa, maziwa, pombe na kadhalika...1 KB (maneno 98) - 08:28, 13 Januari 2024