Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for masimo. No results found for MASKJO.
- Masimo wa Cumae (alifariki 303 hivi) alikuwa Mkristo anayekumbukwa kama mfiadini katika mji huo wa kale kwenye Italia Kusini. Tangu zamani anaheshimiwa...664 bytes (maneno 56) - 08:07, 12 Oktoba 2024
- Masimo wa Torino (labda 380 hivi – 420 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki na mwanateolojia kutoka Italia Kaskazini. Mwanafunzi wa watakatifu Eusebi...2 KB (maneno 171) - 11:46, 3 Oktoba 2023
- Masimo, Dada na Kwintiliani (walifariki Ozobia, Mesia, leo nchini Bulgaria, 286) walikuwa Wakristo wa Durostoro, leo Silistra, waliouawa kwa ajili ya imani...983 bytes (maneno 94) - 07:42, 25 Aprili 2021
- Masimo wa Padova (alifariki 166 BK) anakumbukwa kama askofu wa pili wa Padova (Italia Kaskazini) kuanzia mwaka 141 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa...930 bytes (maneno 63) - 09:06, 27 Machi 2024
- Tibursi, Valeriani na Masimo (walifariki mjini Roma, Italia, 229) walikuwa wanaume walioongokea Ukristo. Kwa sababu hiyo waliteswa na kuuawa wakati wa...1 KB (maneno 127) - 12:29, 5 Aprili 2021
- Masimo wa Nola alikuwa askofu wa Kanisa huko Nola, karibu na Napoli, Italia katika karne ya 3. Alijitahidi kuokoa waumini wake wakati wa dhuluma ya kaisari...1 KB (maneno 85) - 12:52, 2 Agosti 2022
- Masimo padri mfiadini ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao. Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena...578 bytes (maneno 57) - 10:44, 13 Desemba 2019
- Masimo wa Napoli (alifariki 361 hivi) alikuwa askofu wa 10 wa mji huo kuanzia mwaka 350 hadi 357, alipopelekwa uhamishoni kwa sababu ya juhudi zake za...1 KB (maneno 95) - 14:14, 10 Septemba 2023
- Masimo wa Kaisarea (Kaisarea wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 hivi) alikuwa padri korepiskopo aliyeuawa kwa imani ya Kikristo katika dhuluma...768 bytes (maneno 69) - 13:26, 27 Oktoba 2024
- Masimo wa Asia (alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo wa mkoa wa Asia, leo nchini Uturuki) aliyeuawa kwa kupigwa mawe wakati wa dhuluma ya kaisari Decius...734 bytes (maneno 71) - 11:45, 11 Agosti 2021
- Masimo wa Riez (Chateau-Redon, Provence-Alpes-Côte d'Azur, leo Ufaransa, 388 hivi - 460 hivi) alikuwa mfuasi wa Honorati wa Arles, mwanzilishi wa monasteri...2 KB (maneno 226) - 10:02, 2 Novemba 2024
- Masimo wa Pavia (alifariki 511) alikuwa askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini. Alishiriki mitaguso iliyofanyika Roma chini ya Papa Simako. Tangu kale anaheshimiwa...902 bytes (maneno 78) - 10:25, 6 Aprili 2020
- Masimo wa Chinon (pia Maxe, Mexme, Mesme; alifariki Chinon, karibu na Tours, Gaul, leo Ufaransa 470 hivi) alikuwa mmonaki, mfuasi wa Martino wa Tours....1 KB (maneno 107) - 12:38, 5 Mei 2024
- Masimo wa Vuchim (alifariki Antinoe, Misri, 305 hivi) alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano...1 KB (maneno 160) - 13:17, 21 Januari 2022
- Masimo wa Yerusalemu (alifariki 350 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 333 hivi hadi kifo chake. Wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus Daia...2 KB (maneno 159) - 16:23, 3 Mei 2021
- Silvani, Rutuli, Klasiki, Sekundi, Fruktuli, Masimo, Damasi, Paulo na Marsiali ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao...670 bytes (maneno 72) - 10:12, 23 Desemba 2019
- Masimo wa Aleksandria (alifariki 22 Aprili 282) alikuwa askofu wa mji huo wa Misri. Alipokuwa padri alikwenda uhamishoni pamoja na askofu Dionisi wa Aleksandria...2 KB (maneno 184) - 11:05, 28 Oktoba 2022
- wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori...1 KB (maneno 136) - 12:03, 28 Oktoba 2022
- Masimo na Domasi (walifariki 380) walikuwa watoto wa gavana Valentiniani aliyewalea Kikristo. Baada ya kwenda Nisea (leo nchini Uturuki) walihamia Siria...3 KB (maneno 220) - 19:41, 17 Juni 2024
- wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Torino, Prospa wa Akwitania, Prospa wa Reggio, Tigre, Moluag, Eurosia...1 KB (maneno 146) - 15:01, 16 Septemba 2023