Nenda kwa yaliyomo

Matokeo ya utafutaji

Showing results for felisi. No results found for Feliki.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Felisi wa Susa (alifariki 434 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Hadrumetum (leo Susa nchini Tunisia). Aliuawa kutokana na dhuluma ya...
    1 KB (maneno 107) - 10:52, 11 Septemba 2019
  • Thumbnail for Felisi wa Nicosia
    Felisi wa Nicosia, O.F.M.Cap. (jina la awali Filippo Giacomo Amoroso) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Sicilia, leo nchini...
    2 KB (maneno 131) - 10:47, 14 Agosti 2023
  • Thumbnail for Felisi na Adauti
    Felisi na Adauti (walifariki Roma, Italia, 304) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Kadiri ya...
    1 KB (maneno 91) - 13:03, 29 Agosti 2020
  • Thumbnail for Felisi wa Nola
    Felisi wa Nola (alifariki Nola, Campania, Italia, 250 hivi) alikuwa padri wa mji huo karibu na Napoli. Alivyosimulia Paulino wa Nola, aliuza mali yake...
    1 KB (maneno 137) - 13:37, 9 Julai 2022
  • Felisi, Adaukti, Januari, Fortunati na Septimi ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini (Algeria ya leo) waliofia dini yao. Kati yao Felisi alikuwa askofu...
    605 bytes (maneno 63) - 08:52, 20 Desemba 2019
  • Anastasi, Felisi na Digna (walifariki Cordoba, Hispania, 14 Juni 853) walikuwa Wakristo wa Cordoba waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu...
    2 KB (maneno 133) - 08:13, 15 Septemba 2023
  • Fabiani, Felisi na wenzao Arioni, Kapitulini, Nisia, Elafi, Venusti, Kresensi, Aleksanda, Teonus, Pleosi, Astesi, Apoloni, Amfamoni, Fisosi, Melei, Dionsi...
    783 bytes (maneno 81) - 11:03, 13 Desemba 2019
  • Thumbnail for Felisi wa Gerona
    Felisi wa Gerona (alifariki Gerona, leo nchini Hispania, 31 Agosti 304) alikuwa Mkristo kutoka Scillium, Tunisia, aliyekwenda pamoja na shemasi Kukufas...
    1 KB (maneno 78) - 10:15, 23 Machi 2024
  • Thumbnail for Felisi na Regula
    Felisi na Regula (walifariki 286) ni Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao. Inasemekana walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale walioongozwa na Morisi...
    2 KB (maneno 214) - 14:24, 17 Mei 2024
  • Felisi wa Toniza (alifariki katika mji huo, leo La Calle nchini Tunisia, katika karne ya 3) alikuwa Mkristo wa Numidia aliyeuawa kwa ajili ya imani yake...
    733 bytes (maneno 69) - 14:32, 4 Novemba 2020
  • Felisi wa Sevilia (alifariki Sevilia, Hispania, karne ya 4 hivi) alikuwa shemasi mkuu wa Toledo aliyepigwa mijeledi hadi kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo...
    738 bytes (maneno 66) - 07:18, 1 Mei 2021
  • Felisi wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 1) alikuwa kati ya Wakristo wa kwanza wa jiji hilo kufia imani yake. Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu...
    714 bytes (maneno 64) - 11:59, 22 Julai 2021
  • Felisi wa Split (alifariki Split, Dalmatia, leo nchini Kroatia, mwanzoni mwa karne ya 4) ni kati ya Wakristo wengi waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati...
    761 bytes (maneno 69) - 13:50, 13 Mei 2020
  • Thumbnail for Papa Felix III
    Papa Felix III (elekezo toka kwa Papa Felisi II)
    web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Wikimedia Commons ina media kuhusu: Papa Felix III Kuhusu Papa Felisi III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki...
    3 KB (maneno 336) - 12:18, 11 Aprili 2022
  • Felisi na Genadi (walifia dini Uzali, leo nchini Tunisia) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Wanaheshimiwa...
    858 bytes (maneno 87) - 09:36, 21 Januari 2021
  • Felisi wa Thibiuca (247 hivi - 303 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Thibiuca (leo Tubzak nchini Tunisia). Aliuawa mjini Karthago (labda...
    1 KB (maneno 106) - 12:50, 18 Februari 2024
  • Felisi wa Bologna (karne ya 4 - Bologna, leo nchini Italia, 4 Desemba 432) alikuwa askofu wa 7 wa mji huo kuanzia mwaka 397 hivi hadi kifo chake. Kabla...
    840 bytes (maneno 80) - 12:16, 20 Novemba 2021
  • Thumbnail for Orodha ya Watakatifu wa Afrika
    Afrika Kaskazini Felisi na Genadi, Tunisia Felisi na Regula, Misri Felisi, Niseta, Postiniana na Filipo, Afrika Kaskazini Felisi wa Abbir, Sipriani...
    46 KB (maneno 5,292) - 10:49, 26 Juni 2024
  • Felisi wa Afrika Kaskazini (alifariki baada ya 453) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki. Alipelekwa uhamishoni katika dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali...
    719 bytes (maneno 69) - 08:05, 9 Februari 2020
  • Fidelis, Felisi na wenzao Kresenti, Liberati, mke wake na watoto wao wawili ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao. Kresenti...
    754 bytes (maneno 77) - 12:47, 26 Desemba 2019
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)