Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for daudi. No results found for Daayi.
- Daudi (kwa Kiebrania דוד, Daud, kwa Kiarabu داوُد, Dāwūd; Bethlehemu, mnamo 1040 KK - Yerusalemu, 970 KK hivi) alikuwa mfalme wa pili wa Israeli ya Kale...16 KB (maneno 1,588) - 11:41, 6 Desemba 2024
- Mwana wa Daudi ni jina la heshima la wanaume waliotokana na vizazi vya mfalme Daudi na hivyo kuhusishwa na ahadi alilopewa na nabii Nathani kwamba ukoo...838 bytes (maneno 86) - 11:39, 20 Juni 2014
- Daudi ni kata ya Wilaya ya Mbulu Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 8,145 . Kwa mujibu...665 bytes (maneno 55) - 12:53, 7 Aprili 2024
- Daudi Mwangosi (1972 — Septemba 2, 2012) alikuwa mwandishi wa habari wa kituo binafsi cha runinga cha Chanell Ten, Mwangosi aliuliwa katika kijiji cha...5 KB (maneno 344) - 11:36, 25 Novemba 2023
- Dickson Daudi, (alizaliwa 10 Aprili, 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania ambaye anachezea klabu ya Mtibwa Sugar F.C ya Morogoro...1 KB (maneno 77) - 10:18, 9 Septemba 2023
- Daudi Kabaka (1939-2001) ni mwimbaji mzaliwa wa Kenya. Aina ya muziki anayojulikana nayo inaitwa 'Benga', mtindo maarufu sana katika Afrika Mashariki...1 KB (maneno 158) - 21:12, 11 Aprili 2013
- Njalu Daudi Silanga (amezaliwa tar. 3 Mei 1978) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Itilima...493 bytes (maneno 36) - 04:50, 31 Oktoba 2019
- mfalme Daudi anashika nafasi ya Sauli na kuteka Yerusalemu Samweli, mwamuzi na nabii aliyewapaka mafuta wafalme wa kwanza wa Israeli: Sauli, halafu Daudi Sauli...826 bytes (maneno 117) - 13:39, 9 Aprili 2020
- Solomoni anakuwa mfalme wa Israeli badala ya baba yake, Daudi. 965 KK: Kifo cha mfalme Daudi mjini Yerusalemu 925 KK: Kifo cha mfalme Solomoni mjini Yerusalemu;...1 KB (maneno 141) - 09:17, 2 Oktoba 2018
- Daudi Uribe (jina kamili kwa Kihispania David Uribe Velasco; Buenavista de Cuellar, Guerrero, Mexico, 29 Desemba 1889 - San José Vidal, Chilpancinga,...2 KB (maneno 148) - 23:13, 13 Julai 2021
- Israeli kuanzia wakati wa Waamuzi mpaka karibu na mwisho wa utawala wa Mfalme Daudi. Vitabu hivyo havimtaji mwandishi wake, ingawa kulikuwa na fununu kwamba...10 KB (maneno 1,472) - 08:59, 29 Mei 2024
- ni: Abeli Abrahamu Adamu Amosi Ana (mama wa Samweli) Aroni Ayubu Baruku Daudi Eleazari Eleazari mfiadini Elisha Elia Eva Ezekieli Ezra Gideoni Habakuki...1 KB (maneno 95) - 12:24, 24 Desemba 2022
- Daudi wa Thesalonike (Mesopotamia, 450 hivi - Thermes, Ugiriki, 540) alikuwa mmonaki aliyepata umaarufu kwa karama yake ya ushauri iliyomvutia heshima...2 KB (maneno 146) - 19:32, 25 Septemba 2023
- Daudi Galvan (kwa Kihispania David Galván Bermúdez; Guadalajara, Jalisco, Mexico, 29 Januari 1881 – Guadalajara, Jalisco, Mexico, 30 Januari 1915) alikuwa...2 KB (maneno 174) - 10:38, 23 Julai 2022
- Daudi wa Uswidi, O.S.B. (pia: David av Munktorp; Uingereza, karne ya 10 – Vasteras, Uswidi, 1082) alikuwa mmonaki Mbenedikto wa urekebisho wa Cluny aliyetumwa...2 KB (maneno 118) - 14:26, 18 Februari 2024
- ya Kitabu cha Pili cha Samueli, alikuwa nabii wa ikulu chini ya Mfalme Daudi. Ndiye aliyemuarifu kwamba Mungu hataki amjengee hekalu la ajabu mjini Yerusalemu...2 KB (maneno 244) - 07:05, 1 Januari 2023
- taji ya kuwa mfalme wa tatu wa Israeli ya Kale akimfuata babake Daudi. 970 KK: Daudi mfalme wa pili wa Israeli ya Kale anaaga dunia Wikimedia Commons...511 bytes (maneno 114) - 12:29, 7 Februari 2021
- Daudi Lewis, S.J. (Abergavenny, Monmouthshire, Welisi, 1616 - Usk 27 Agosti 1679), alikuwa padri Mjesuiti aliyefanya uchungaji kwa siri muda wa miaka...2 KB (maneno 243) - 10:09, 8 Mei 2024
- inaitwa Kitabu cha kwanza cha Mambo ya Nyakati kikiishia na kifo cha mfalme Daudi. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika...742 bytes (maneno 173) - 08:52, 29 Mei 2024
- Asha Daudi Abinallah Maarufu kama AshaDii ni mwanamke Mtanzania na mkurugenzi wa shirika la Media Convergency linalojihusisha na TEHAMA kutatua changamoto...4 KB (maneno 462) - 07:10, 12 Mei 2024