Margerita wa Città di Castello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Margerita.

Margerita wa Città di Castello (Ngome ya Metola, Marche, Italia, 1287 - Città di Castello, Umbria, 13 Aprili 1320) alikuwa bikira kipofu na mlemavu wa viungo tangu kuzaliwa.

Baada ya kukataliwa na wazazi na monasteri mbalimbali alijiunga na Utawa wa Tatu wa Dominiko Guzman akazidi kutegemea moyoni jina la Yesu[1][2][1][3].

Utakatifu wake ulioheshimika tangu kale ulithibitishwa na Papa Fransisko tarehe 24 Aprili 2021[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Blessed Margaret of Castello". CatholicSaints.Info. 13 April 2017. Iliwekwa mnamo 14 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "The history of Little Margaret of Castello". Blessed Margaret of Castello Guild and Shrine. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-15. Iliwekwa mnamo 14 October 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Blessed Margaret of Castello". Roman Catholic Saints. Iliwekwa mnamo 14 October 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90763
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.